Mwanamuziki nyota wa hip hop nchini Marekani, Dj Khaled amenunua jumba la kifahari lenye thamani ya dola milioni 10 sawa na shilingi bilioni 20 za kitanzania.

Nyumba hiyo ambayo ipo katika eneo la Beverly Hills ilikuwa inamilikiwa na muimbaji wa Pop wa Uingereza, Robbie Williams ambayo aliinunua mwaka 2002 kwa kiasi cha dola milioni 5.45.

mansin

Ina vyumba 7 vya kulala, mabafu 11, bwawa la kuogelea, sehemu ya mazoezi na vitu vingine na sehemu nyingine kibao za hanasa.

Kupitia akaunti yake ya Twitter mkali huyo ameandikaI told my son ASAHD not only will you have the house in Mia on water I’m buy u 4 mansions aka estates in diff cites ASAHD everyTING for you,”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *