Mwanamuziki wa hip hop nchini Marekani, Sean Combs maarufu kama Diddy ametajwa kuwa ni mtu maarufu anayeingiza mkwanja mrefu zaidi duniani.

Diddy ametajwa kulipwa kiasi cha dola milioni 130 kwa miezi 12 iliyopita huku nafasi ya pili ikikamatwa na Beyonce ambapo anaingiza dola milioni 105.

Kwenye orodha hiyo mchezaji wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo amekamatwa nafasi ya tano akiingiza dola milioni 93.

Orodha ya 10 bora ipo kama ifuatavyo.

1. Diddy, $130 million
2. Beyoncé, $105 million
3. J.K. Rowling, $95 million
4. Drake, $94 million
5. Cristiano Ronaldo, $93 million
6. The Weeknd, $92 million
7. Howard Stern, $90 million
8. Coldplay, $88 million
9. James Patterson, $87 million
10. LeBron James, $86 million

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *