Staa wa WCB, Diamond Platnumz ametangaza ujio wa ALBAMU yake mpya mwaka huu.

Staa huyo ameshare- big news na fasn wake kupitia mtandao wa Instagram huku akieleza namna alivyofurahishwa na taarifa za kufikisha views milioni 10 za ngoma yake ya collabo na P-Square ya @kidogo.

Chibu Dangote amendika:

#KIDOGO ft @peterpsquare & @rudeboypsquare 10 Million view now!!! Damn i can’t wait for my next release!!! Album of the CENTURY!!!! you can stream and buy this song on @wasafidotcom @itunes @Deezer @spotify @Vevo and all digital platforms

Diamond ameahidi albam yake mpya kuwa albamu ya karne, lakini staa huyo hajaweka wazi tarehe wala mwezi atakaoiachia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *