Baada ya staa Ommy Dimpozi kuwatuhumu baadhi ya mastaa wa Bongo Fleva kununua ‘views’ youtube ili kuwahadaa fans na watoaji wa tuzo kuwa ngoma zao zinafanya vizuri, tumekuletea ‘data’ za views za mastaa kadhaa wa Bongo Fleva kutoka Youtube.

Tathmini utakayoifanya, jawabu utatuambia.

Diamond Platnumz:

Nyimbo: SALOME  Muda wa kukaa yotube: Mwezi 1  Views: Milioni 8

Nyimbo: JE UTANIPENDA? Muda wa kukaa youtube: Miezi 11  Views: milioni 7

Nyimbo: KIDOGO Muda wa kukaa youtube: Miezi minne Views: Milioni 6

Alikiba

Nyimbo: AJE Muda wa kukaa youtube: Miezi 5 Views: Milioni 4

Nyimbo: CHEKECHA CHEKETUA Muda wa kukaa youtube: Miezi 12 Views: Milioni 4

Nyimbo: MWANA Muda wa kukaa youtube: Mwaka na zaidi Views: Milioni 8

Dimpozi

Nyimbo: ME AND YOU Muda wa kukaa youtube: Miaka miwili Views: Laki 1

Nyimbo: WANJERA Muda wa kukaa madarakani: Mwaka 1 Views: Milioni 1

Nyimbo: NAI NAI Muda wa kukaa madarakani: Miaka 2 Elfu 81

Vanessa mdee

Nyimbo: NIROGE Muda wa kukaa youtube: Miezi saba Views Milioni 1

Nyimbo: NOBODY BUT ME Muda wa kukaa youtube: Mwaka 1 Views: Milioni 1.5

Navy kenzo

Nyimbo: GAME Muda wa kukaa youtube: Mwaka mmoja Views: Milioni 1.3

Nyimbo: KAMATIA CHINI Muda wa kukaa youtube: Miezi 9 Views: Milioni 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *