Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameleta taharuki kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya jana kuposti picha ya selfie akiwa amevalia boxer nyeusi.

Kupitia ukurasa wake huo wa Instagram Diamond ameandika: Straight from the Changing room!…I think i need to go back to the gym so that i can be more flexible on m 24th Pre-XMass Parformance in Dar Es Salaam.

dddd

Licha ya kufunika kwenye eneo la sehemu zake za siri, selfie hiyo imezua hisia tofauti miongoni mwa mashabiki wake huku wengi wakimponda staa huyo kwa kukosa maadili.

Hiyo si mara ya kwanza kwa Diamond kufanya hivyo siku za nyuma aliweka video katika mitandao ya kijamii ikimuonesha akisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa na boxer tu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *