Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz anatarajia kufungua tawi jipya la lebo yake ya wcb nchini Rwanda.

Diamond amesema hayo kupitia akaunti yake ya Instagram huku akimbatanisha na picha ikionesha akiwa na meneja wake, Salaam SK wakisaini mikataba na mwakilishi kutoka nchini Rwanda.

Mwanamuziki huyo ameamua kufungua tawi hilo nchini humo ili kuikuza na kuitangaza lebo hiyo inayosimamia wanamuziki hapa nchini.

rwabda

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *