Baada ya kuenea kwa taarifa za kusambaratika kwa penzi la Diamond na Zari, Hatimaye Diamond amewachana watu wanaofuatiliana mahusiano yake pamoja na maisha yake kwa ujumla.

Diamond amewachana watu hao kupitia akaunti yake ya Instagram kwa kuwaambia kuwa kila kukicha wanazusha kitu kipya ambapo vingine si vya kweli ila wameamua kumzushia kupitia mitandao ya kijamii.

Rais huyo wa WCB amesema kuwa kutokana na habari za kuachana na mpenzi wake Zari ipo siku muda utafika na hataweka wazi kila kitu kwani hakuna kitakacho mzuia juu ya uamuzi wake.

Ameanza kwa kuandika “Mara Diamond Kamla Huyu, mara sjui naskia anatembea na Huyu, Mara Ooh sjui inasemakana juzi alikuwa na Huyu…Yani kila Ukiamka limezuka jipya’.

Pia ameongeza kwa kuandika Utazani yangu ina Sukari au Nakojoa dhahabu…..Hebu Niacheni kidogo, niko Busy nahangaika kuipeleka Bongo fleva yetu Duniani…. Sijamkaza yoyote, na Sina Mahusiano na Yoyote anaetajwa,

Mwisho amemalizia kwa kuandika ‘Ipo Siku pia Nikimaliza Mahusiano yangu na Alie South na nikawa na Mwengine na ikifikia kuliweka wazi ntaliweka wazi Mwenyewe, Maana hakuna kitachonizuia… ndio kwanza nna miaka 28, Sijaoa na Hata nikioa Naruhusiwa niwe na wake Wanne PERIOD!!!.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *