Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kupitia akaunti yake ya Instagram amethibitisha kununua helicopter yake binafsi.

Kupitia akaunti yake ya Instagram mwanamuziki huyo amethibitisha kuwa tayari amenunua helicopter hiyo kwa ajili ya matumizi yake binafsi.

Diamond alikuwa akizungumzia namna msanii unatakiwa kuishi au kuwa ili kupata ile heshima unayostahili na kuingiza mkwanja wa kutosha.

“Mfano kwa mtu kama mimi ambaye nimetokea mtaani, kwa sasa nanunua gari la kifahari lenye thamani hadi tsh. bilioni 2.3.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *