Staa wa Bongo Flava, Diamond Platnumz amekanusha taarifa za kutengeneza kiki katika mitandao ya kijamii.

Diamond amesema kuwa mitandao yake anaitumia kuwajuza mashabiki taarifa mbali mbali na sii vinginevyo.

Amesema kuwa “Hamna, mimi kama kwa mfano kwenye Instagram na kwenye mitandao yangu ya kijamii nawapa habari zangu zinazotokea mara kwa mara.

Pia amesema kuwa “Huwa naweka mwenyewe, wapo digital management pale ofisini kwetu lakini ile niwe active sometimes huwa nafanya mwenyewe,”.

Diamond katika mtandao wa instgrama ana followers 3.9 milioni, twitter 429k facebook like 2. milioni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *