Mwanamuziki wa Bongo fleva, Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania tuzo za Ghana Music Awards zinazoandaliwa kwa ushirikiano wa kampuni mbili za Alordia Promotion & West Coast UK Entertainment za nchini Ghana na Uingereza.

Diamond Platnumz anawania tuzo hizo kupitia katika kipengele cha AFRICAN ARTIST OF THE YEAR akichuana na wakali wengine kama Patoranking, Fally Ipupa, Davido, AKA, Wizkid, Olamide na Tekno Milles.

Sherehe za utoaji wa tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika  zimepanjijini London, Uingereza mnano November 5 2016.

Mbali na tuzo hizo Diamond Platnumz anawania tuzo za MTV MAMA zinazaotlewa na MTV Base zitakazofanyika nchini Afrika Kusini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *