Umewahi kutazama video za super staa Darassa kwa makini na kutazama warembo wanaotumika kwama video queens?

Sio tu, MUZIKI lakini pia Darassa anajaribu kujenga career path kwa video queens kwaajili ya kuwa ‘unique brands’ ingawa wengi wao, hawatambui hilo.

Darassa ana project within a project, anainua vipaji vya video models ambao wanaonekana kwenye video za ngoma zake na kila mara anajaribu kuwaibua wapya na kuwatumia kwenye nyimbo tofauti.

Tatizo kubwa linalomkera Darassa kuhusiana na models hao ni wao kutojitambua na matokeo yake kupokea kila dili na kutokea kwenye kila nyimbo hadi inafika wakati unashindwa kutofautisha nyimbo kutokana na models waliomo humo.

Darassa ataweza kutengeneza models wake peke yake? Atatao video ngapi kuwasaidia wote?

Ngoja tuone.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *