Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo amemteua Dk. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Rashid Othman aliyestaafu.

Dk. Modestus Kipilimba ataapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuitimikia nafasi hiyo.

 

Kapilimba: Mkuu mpya wa Iadara ya usalama wa Taifa aliyechaguliwa leo na Rais Magufuli.
Kipilimba: Mkuu mpya wa Iadara ya usalama wa Taifa aliyechaguliwa leo na Rais Magufuli.

Kabla ya uteuzi huo Dkt. Modestus Francis Kipilimba alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *