Muigizaji wa vichekesho nchini Nigeria, Jedi Ayo na mke wake Olajumoke wamesheherekea kumbu kumbu ya mwaka mmoja ya ndoa yao.

Wawili hao walifunga ndoa mwaka jana mwezi kama huu ambapo wamejaliwa kupata mtoto mmoja wa kike waliyemwita kwa jina la Ayoola aliyezaliwa Septemba 28 mwaka jana.

Kupitia akaunti yake ya Instagram mke wa Comedian huyo, Olajumoke ameandika   “Baby it’s a year since forever began… I promise to be there always and to love you till eternity, I promise to drive you crazy (because, why not?!) Happy Anniversary to us! Here’s to forever and a day more? #happyanniversary #WeareOneyearold”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *