Mwanamuziki wa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amemnunulia cheni mpya mpenzi wake Zuchu huko jijini London nchini Uingereza.

Kupitia ukurasa rasmi wa lebo ya WCB imeandika kuwa “Simba amemnunulia Zuchu cheni mpya London” hayo ni maneno yaliyoandikwa.

Hii huenda imewaziba baadhi ya mashabiki midomo ambao walidai penzi hilo limevunjika kutokana na kutokuwa karibu kwa wawili hao.

Siku kadhaa zilizopita wasanii hao kila mmoja alijitangaza kuwa yupo single na kuzua taaruki kuwa wawili hao wameachana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *