Mgombea Ubunge wa Jimbo la Dimani Zanzibar, Juma Ali Juma (CCM) ameshinda uchaguzi huo kwa kura 4860, wakati mpinzani wake Abdulrazack wa CUF akipata kura 1234 pekee.

Uchaguzi wa Ubunge unafanyika kwenye jimbo la Dimani, Wilaya ya Magharibi “B”, Mkoa wa Mjini Magharibi visiwani Zanzibar.

uchaguzi-dimani-1

Uchaguzi mdogo wa jimbo la Dimani unafanyika kufutokana na kifo cha aliyekuwa Mbunge wake, Hafidh Ali Tahir (CCM) kilichotokea Novemba 11 mkoani Dodoma alikokuwa akihudhuria Mkutano wa Bunge na kuugua ghafla.

Mbunge kwa tiketi ya CCM amechuana vikali na mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *