Monday, December 5, 2022

Gerrard ateuliwa kuwa kocha wa Rangers

Kiungo wa zamani wa klabu ya Liverpool, Steven Gerrard ameteuliwa kuwa kocha mpya klabu ya Rangers ya nchini Scotlannd kwa mkataba wa miaka minne.   Gerrard...

Yanga yapeleka mbele mkutano wake

Uongozi wa Klabu ya Yanga umeupeleka mbele mkutano mkuu wa wanachama wake ambao ulitakiwa kufanyika Jumapili Mei 06, 2018 na badala yake umepelekwa Juni...

MO Dewji kukabidhiwa timu Mei 20

Uongozi wa klabu ya Simba unatarajia kufanya Mkutano wa Mabadiliko ya katiba utakaofanyika siku ya Jumapili ya Mei 20, 2018. Kwa mujibu wa afisa habari...

Kampuni ya StarTimes kurusha kombe la dunia

Kampuni ya Star Media (T) Ltd, imetangaza rasmi kurusha matangazo ya Kombe la Dunia Urusi 2018 mbashara kupitia king’amuzi chake cha StarTimes na kuwawezesha...

Haji Manara akanusha kuondoka Simba

Afisa Habari wa Simba SC, Haji Manara amefunguka na kudai sio kweli ana mpango wa kutaka kuikacha Klabu yake ya wekundu wa Msimbazi na...

Firmino asaini mktaba wa miaka mitano Liverpool

Mshambuliaji wa Liverpool, Roberto Firmino ameongeza mkataba mpya wa kuendelea kuichezea klabu hiyo kwa misimu mingine zaidi. Firmino ameasaini mkataba huo ambao utamfanya aweze kulipwa...

Chirwa kuikosa mechi ya Simba na Yanga

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Obrey Chirwa, jana amefikisha idadi ya kuwa na kadi tatu za njano katika ligi. Chirwa ambaye ni raia wa Zambia,...

MO Salah ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Uingereza

Mchezaji wa klabu ya soka ya Liverpool, Mohamed Salah ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka inayotolewa na Chama cha Wachezaji wa kulipwa nchini...

Wenger kuachia ngazi Arsenal mwisho wa msimu huu

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amekubali kuachia klabu hiyo mwisho wa msimu huu baada ya kufanya vibaya. Maamuzi ya kocha huyo yanakuja baada ya kufikiana...

Neymar kurejea kombe la dunia

Mchezaji wa kimataifa wa Brazil, Neymar anatarajiwa kuwa fiti na kushiriki katika Kombe la Dunia msimu huu wa joto litakalofanyika nchini Urusi. Mchezaji huyo anatarajiwa...

John Cena amwagana na mpenzi wake Nikki Bella

Nyota wa mchezo wa mieleka nchini Marekani, John Cena na mpenzi wake Nikki Bella wametangaza kuwachana.  Kwa mujibu wa mtandao wa US Weekly  umeripoti kuwa...

Kikosi cha simba dhidi ya Prisons hiki hapa

Klabu ya Simba imetangaza kikosi chake kitakacho shuka uwanjani hii leo kuwakabili Tanzania Prisons. Kwenye kikosi hicho cha Simba SC wachezaji watakao anza ni, John...

FIFA kufanyia kazi maoni ya shirikisho la soka la Amerika ya...

Rais wa shirikisho la soka la kimataifa (FIFA), Gianni Infantino ameunga mkono mapendekezo yaliyyotolewa na shirikisho la soka la bara la America Kusini (CONMEBOL)...

Vita ya Real Madrid na Bayern Munich yarejea tena

Klabu ya Real Madrid itacheza dhidi ya mabingwa wa soka nchini Ujerumani FC Bayern Munich hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani...

Salah aipeleka Liverpool nusu fainali baada ya miaka 10

Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah ameiwezesha klabu yake kutinga hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa Ulaya baada ya kuwafunga Manchester City 2-1 kwenye...

Msafara wa Mayweather washambuliwa na risassi

Msafara wa bondia Floyd Mayweather, umeshambuliwa kwa risasi na watu wasio fahamika jumanne hii,huko Atlanta, Marekani,na kupeleke mmoja kati ya walinzi wa bondia huyo,...

Maneno ya Mourinho baada ya Man United kuwafunga Man City

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, amesema timu yake inastahili kupewa heshima baada ya kuwafunga Manchester United. United ilikuwa nyuma kwa mabao 2-0 kabla ya...

Yanga yatangaza viingilio mechi yao dhidi ya waethiopia

Klabu ya soka ya Yanga imeweka wazi viingilio vya mchezo wao wa mtoano dhidi ya Welayta Dicha ya Ethiopia. Katika viingilio ambavyo Yanga imevitaja leo,...

Tshishimbi, Chirwa, Makapu na Yondani kuwakosa waethiopia

Klabu ya Yanga itawakosa wachezaji wake wanne kwenye mechi ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Welaita Ditcha ya Ethiopia baada ya kuoneshwa...

Brazil yailaza Ujerumani 1-0 jijini Berlin

Brazil jana imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Ujerumani kwenye mechi ya kirafiki iliyofanyika jijini Berlin nchini Ujerumani. Hiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa...

Tshishimbi akabidhiwa fedha zake za mchezaji bora wa mwezi Februari

Kiungo wa Yanga, Papy Tshishimbi amekabidhiwa kiasi cha shilingi milioni baada ya kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mwezi Februari. Awali...

Ibrahimovic kujiunga LA Galaxy ya Marekani

Baada ya kufikia makubalianao ya kuvunja mkataba na klabu yake ya Manchestr United, mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic anatarajiwa kujiunga na klabu ya LA Galaxy inayoshiriki...

Ngoma aanza mazoezi na kikosini cha Yanga

Baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu hatimaye mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma amerejea kikosini kwaajili ya maandalizi ya kuivaa Singida United...

Pogba akiri kukosa raha na maisha ya Manchester

Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps ameweka wazi kuwa kiungo wa Manchester United Paul Pogba, hana furaha ndani ya kikosi cha...

Ronaldo ashinda tuzo ya mwanasoka bora Ureno

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano ameshinda ya mwanasoka bora wa Ureno zilizotolewa na shirikisho la soka la Ureno. Ronaldo, 33, ameshinda tuzo hiyo mwaka huu...

Promota amtabilia mabaya Anthony Joshua

Promota mkongwe, Bob Arum ametabiri kuwa bingwa wa dunia wa masumbwi ya uzito wa juu, Anthony Joshua atapokea kipigo chake cha kwanza, Aprili Mosi...

Rondaldo apiga hat-trick ya 50 toka aanze soka

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo jana amefunga hat-trick yake ya 50 tangu aanze kucheza soka ya kulipwa huku Real Madrid kwenye ushindi wa...

Liverpool ‘uso kwa uso’ na Manchester City robo fainali klabu bingwa...

Klabu ya Liverpool itakutana na Manchester City kwenye robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani, Ulaya. Timu hizo tayari zimekutana mara mbili kwenye ligi...

Kikosi cha Simba kitakachosafiri kuelekea Misri

Klabu ya soka ya Simba imetangaza kikosi kitakachoondoka leo kuelekea Misri kwaajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya...

Tshishimbi atangazwa mchezaji bora wa mwezi Februari

Kiungo wa Yanga Papy Kabamba Tshishimbi ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Ligi kuu kwa mwezi Februari. Tshishimbi amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya kuisaidia klabu...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Harmonize atarajia mtoto na mpenzi wake Sarah

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Sarah ana ujauzito mkubwa na muda wowote anaweza kujifungua. Harmonize amesema hayo wakati akipafomu...

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...