Monday, December 5, 2022

Ishi Kistaa S01E10

Unapenda kukutana na staa gani wa Bongo? Unapenda zaidi wasanii wa tasnia ipi kati ya Bongo Fleva na Bongo movie? Je, mapenzi yako kwa staa wa Bongo yanaweza kukutoa mkoa wa mbali kwaajili ya kukutana nae na ‘kula bata pamoja nae’? Je, iwapo ISHI KISTAA itakugharamia kila kitu kuanzia...

Ishi Kistaa S01E08

Umeshawahi kukutana na Sharobaro a.k.a Bob Junior a.k.a rais wa Wasafi? Unaitamani nafasi hiyo? Usiishie kutamani tu, njoo ukutane nae, mpige stori na umuulize utakacho. Licha ya kuwa ndiye msanii aliyewasaidia kina Diamond Platnumz kutengeneza majina makubwa waliyonayo leo lakini yeye amebaki kuwa mtu wa kawaida ana asiyejikweza. Bob Junior mmiliki...

Ishi Kistaa S01E07

Unatamani kuwa MASOGANGE wa Belle9? Sharti moja tu uliweze ‘USIWE MBALI’ Unataka shopping kali, mwache Belle9 akuongoze njia, unataka kujua kama nguo imekukaa au haujanoga? Mfanye Belle9 awe kioo chako. Unataka ‘amazing acappella’, hebu icheki kwa Belle9. Ni BOOOONGE la zawadi kwa fan wake!! ‘We ni zaidi ya wimbo wacha nikuimbe wacha nivimbe...

Ishi Kistaa S01E06

Wangapi wanawapenda mastaa kutoka Wasafi Classic Baby? Huyu hapa ni mmoja wa mastaa hao, Queen Darleen. Ana vituko, ana mbwembwe na uchangamfu wake ni ‘amazing’. Yaani ilikuwa ‘sheeeeedah’ kwa mshindi wa ISHI KISTAA anayemkubali zaidi Queen Darleen. Jambo moja la kutambuani kuwa, endapo hupendi pensi au nguo fulani, ISHI KISTAA tunafanyaje?….WE GIVE...

Ishi Kistaa S01E05

Kitu muhimu sana unachopaswa kufahamu kuhusu washindi wa ISHI KISTAA, ‘HAWASAHAU TAREHE ZA USHINDI WAO’. Mastaa wa IshiKistaa wanafahamu kuwa hii ni ndoto yao ya muda mrefu hivyo huweka sawa kumbukumbu za kila tukio, BIG UP!! Tazama hilo kwa Skola. Skola ni msichana ambaye ilia toke kwao na kuja kuishi kistaa ni...

Ishi Kistaa S01E04

Yawezekana hujawahi kufika kwenye mkoa fulani ndani ya Tanzania au wakati mwingine unaweza ukajikuta hujawahi kutumia huduma fulani. Mfano kupanda ndege au treni au hujawahi kukutana na staa unayemkubali zaidi. Nini kinafuata unapopata kile ulichokuwa unakiota? Ni SUPER CALLS’ Ukiwa na smart phone utaitumia kupiga selfie za ushahidi lakini vinginevyo ni simu...

Ishi Kistaa S01E03

Unajisikiaje pindi unapokuwa mshindi wa Episode ya Ishi Kistaa? Unapokuwa mwanafunzi ambaye una lengo la kutimiza ndoto za kuishi kistaa na MUNGU anapokujaalia nafasi hiyo kupitia ISHI KISTAA campaign, unajiskiaje? Unapotimiza ndoto yako ‘all the way from Dodoma’ unajiskiaje? It is real!!! Hayo yote na ziada yake yanaonekana wazi kwa mshkaji Juma...

Ishi Kistaa S01E02

Umeshawahi kukutana na Mwasiti Almas, yule staa wa KULIVUA PENDO hadharani? Yule binti wa Kigoma kutoka THT? Mwasiti Almas amekuwa moja ya surprise kubwa kwa fans wake siku zote kutokana na mvuto wake na uwezo wake wa muziki awapo jukwaani. Nani ambaye asingependa kumuona Mwasiti akiwa na Ali Nipishe kwenye PENDO? Basi uzuri wa...
Umeshawahi kuwa na ndoto kubwa sana maishani? Umeshawahi kutamani jambo fulani zuri litokee maishani mwako………….Kila kitu kinawezekana chini ya jua. Huenda unatamani kuwa na nafasi kubwa ya madaraka kama raisi, au unatamani kuwa na ufahamu mkubwa wa mambo nawe uitwe ‘GENIUS’ lakini huenda unatamani kuishi maisha fulani hata kwa muda mfupi, EVERYTHING IS...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Harmonize atarajia mtoto na mpenzi wake Sarah

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Sarah ana ujauzito mkubwa na muda wowote anaweza kujifungua. Harmonize amesema hayo wakati akipafomu...

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...