Friday, August 12, 2022

Vanessa Mdee aifungukia ‘kashfa ya unga’ ya Makonda

Staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee a.k.a Cash Madame nae amevunja ukimya kuhusiana na sakata la ‘unga’ la Mh. Paul Makonda. Staa huyo mwenye uhusaino...

Wema Sepetu na mastaa watatu bado ‘LOCK UP’

Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam linaendelea kuwashikilia mastaa wawili wa Bongo Fleva, Nyandu Tozi na Khaleed Mohamed a.k.a TID pamoja na mastaa...

Polisi watishia kumtia nguvuni 2face Idibia

Jeshi la Polisi nchini Nigeria limetahadharisha supastaa wa nchi hiyo, 2face Idibia kuwa watamtia nguvuni endapo ataendelea na mpango wake wa kuongoza maandamano kwenye...

Diamond anavyoanza kuwaliza mashabiki wake

Diamond Platnumz ameamua kuingia mkataba na kampuni ya kimataifa Universal Music Group (UMG) ili iweze kumsapoti kusambaza nyimbo zake. Ni dili ambayo thamani yake kwa...

Jumba la Nicki Minaj lavamiwa na wezi, wasepa na vito vya £140,000 (TZS 390m)

Polisi katika jimbo la Los Angeles nchini Marekani wanapeleleza kesi nyingine ya kuibiwa kwa staa ikiwa ni miezi michache tangu staa wa Marekani, Kim...

Beyonce ‘kitumbo’ kuperform Grammy

Staa wa Pop wa Marekani, Beyonce amekubali kufanya performance kwenye utoaji wa tuzo za Grammy licha ya kuwa mjazito wa watoto mapacha. Baba mzazi wa...

JK Rowling awajibu wanaoitishia kuchoma vitabu vya Harry Potter

Mwandishi wa vitabu vya Harry Potter, JK Rowling amewajibu watumiaji wa mtandao wa Twitter ambao wametishia kuchoma moto vitabu vyake kufuatia msimamo wake dhidi...
video

Wauza Unga Bongo Fleva na Bongo Movie ‘hadharani’

Hii leo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda ameweka hadharani majina ya mastaa ambao wanatuhumiwa kuhusika kwenye biashara ya dawa...

Starehe za kufuru zamfilisi staa wa filamu za Pirates of the Caribbean, Johnny Depp

Staa wa filamu za Pirates of the Caribbean, Johnny Depp ameambiwa ajilaumu mwenye kwa matatizo ya kifedha yanayomkabili hivi sasa kwasababu alikuwa akiishi kifahari...
video

Jambo KUBWA la kufungulia mwaka 2017 la Diamond Platnumz hili hapa

Kupitia video yake aliyoiweka Instagram na kutangaza kuwa mwaka 2017 utakuwa na mambo makubwa zaidi, hatimaye Diamond Platnumz ameanza kuyaweka wazi mambo hayo. Unaikumbuka track...

Ben Affleck atemwa kuongoza Batman

Staa wa filamu za Batman, Ben Affleck ameondolewa kwenye jukumu la kuongoza filamu mpya ya Batman baada ya kupewa jukumu la kuigiza kwenye filamu...
video

Diamond Platnumz amechanganyikiwa na anahitaji msaada?

Kila mpanda ngazi hushuka na kila mchimba kaburi ‘HUINGIA MWENYEWE’. Hakuna ukosefu wa hekima na busara kama kumkimbiza chizi anayeiba nguzo zako wakati unaoga kisha...
video

Matonya na Jide kurudi na ‘Anitha remix’?

Ni kama Bongo Fleva INAZALIWA UPYA vile. Ukitazama kwa sasa, Bongo Fleva imeanza kubadilisha muelekeo na WAKONGWE wanaonekana kuanza kuchukua nafasi zao. Baada ya Lady...
video

Video: Harmonize ampigia magoti Wolper warudiane

Lile penzi la mastaa, Harmonize na Jacqueline Wolper amble lilianza kwa mbwembwe na madoido ya kila aina kisha likaja kukatika kama tui la nazi...

Jux na Vee Money kumwagana?

Huenda hii ikawa ndio couple pekee kwenye uwanja wa Bongo Fleva ambayo iko ‘OPEN’ na bado inaendelea kushamiri, ukiachilia couple ya Navy Kenzo. Ingawa tofauti...

Lady Madonna akana mipango ya kuasili watoto wengine Malawi

Staa wa muziki wa Pop wa Marekani, Madonna amekanusha tetesi zinazodai kuwa ametuma maombi ya kuasili mtoto mwingine kutoka nchini Malawi. Kauli ya Madonna imekuja...

Roman Polanski ajitoa kwenye nafasi ya haji wa tuzo za Cesars

Muongozaji wa filamu Roman Polanski amejiondoa kwenye jopo la majaji wa tuzo za Cesars za nchini Ufaransa kufuatia mashabiki kuonyesha waziwazi kukerwa na kuchaguliwa...

La La Land yaweka historia Oscar, yatajwa vipengele 14

Movie ya La La Land kwa mara nyingine tena imefanikiwa kuandika historia baada ya kutajwa kuwania tuzo kwenye vipengele 14 vya tuzo za Oscars. Mastaa...

Nani kuutambulisha mwaka 2017 wa WCB?

Umemis ‘ngoma mpya’ za WCB? Unataka collabo au unataka solo? Unataka ngoma mpya ya nani; Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Mavoko au Queen Darleen? Kwa mujibu...

Madonna afafanua kauli yake ya kuilipua ikulu ya White House

Kumeibuka mvutano nchini Marekani kuhusiana na kauli ya msanii Madonna aliyoitoa hivi karibuni kuhusiana na rais mpya wa nchi hiyo Donald Trump. Wakati akiwa kwenye...

Flora Mbasha kuachana na mfumo wa kuachia albam

Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwaka huu utakuwa ni wa mwisho kwake kutoa albam na kwamba atakuwa anaachia single ili aweze...
video

New Video: Msanja ft Walter Chilambo – Monica

Mkali wa vichekeso kutokea Olijiono Komedi, Masanja Mkandamizaji ameachia video mpya ya wimbo wa Injili aliomshirikisha Walter Chilambo.
video

Nini kimetokea kwa Chid Benz? Amerudia tena unga!!

Staa wa Hip Hop na mkali kutoka Ilala, Dar es Salaam, Chid Benz a.k.a FIRE amerudia tean kutumia dawa za kulevya. Chidi amerudia matumizi hayo...

Staa umpendaye anajichanganya na nyiniyi?

Ni mara ngapi kwenye maisha umeona watu wenye utajiri, mali, fedha na dhamana kubwa ya madaraka wameweza kuishi maisha yanayofanana na watu wasio katika...

Ginuwine, Mya na kundi la 112 ndani ya Nairobi

Mastaa wa Marekani, Ginuwine, Mya na kundi la 112, wanatarajia kutumbuiza katika tamasha la The Plot litakalofanyika katika ukumbi wa Ngong Racecource Waterfront jijini...

Psquare wamaliza tofauti zao

Staa wa kundi la Psquare, Peter Okoye kutoka Nigeria ameomba msamaha kwa mashabiki wake kufuatia ugomvi na kaka yake Paul Okoye ambaye wanaunda kundi...

Shamsa Ford: Mimi bado nipo CHADEMA

Staa wa Bongo movie, Shamsa Ford amesema ataendelea kuwa mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) licha ya uchaguzi mkuu kumalizika mwaka jana. Staa...

Ney wa Mitego aziingia pingu za BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana staa wa Hip Hop nchini, Emmanuel Elibariki "Nay wa Mitego" kwa kosa la kuimba...

Beyonce akimbiza tuzo za MTV

Staa wa muziki nchini Marekani, Beyonce ameongoza kwenye vipengele vya tuzo za MTV Music Awards 2016 baada ya kutajwa kwenye vipengele 11 vya tuzo...

JB ndani ya igizo la “Kumekucha”

Staa wa Bongo movie, Jacob Steven ‘JB’ ameshiriki katika igizo la "Kumekucha" ambalo limeandaliwa kwa ajili ya kuhamasisha vijana kujishughulisha na kilimo kutokana na...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Harmonize atarajia mtoto na mpenzi wake Sarah

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Sarah ana ujauzito mkubwa na muda wowote anaweza kujifungua. Harmonize amesema hayo wakati akipafomu...

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...