Everton imekamilisha usajili wa beki wa kati kutoka klabu ya Swansea City, Ashley Williams ambapo ada ya uhamisho paundi milioni 12 baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia timu hiyo.

ashley-williams-everton-swansea_3761702

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *