Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Bob Junior amesema kuwa picha ilisambaa katika mitandao ya kijamii akijiachia na msichana ni kawaida tu si mpenzi wake kama watu wanavyodai.

Bob Junior kwa sasa yupo kwenye penzi motomoto na mrembo huyo ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja ambapo amekuwa akijiachia sehemu mbalimbali kama viwanja vya starehe na ufukweni kupunga upepo kama hiyo picha ilivyovuja kwani inaonyesha wakiwa ufukweni.

bob-junior-1

Baada ya picha hiyo iliyozua gumzo mtandaoni huku mashabiki wakisema kuwa Bob Junior ameingia kwenye penzi jipya baada ya kuachana na mkewe nwaka jana.

Kutokana na picha hiyo zugaa mtandaoni Bob Junior amesema kuwa kweli hiyo picha walikuwa wkijiachia ufukweni lakini huyo ni rafiki yake wa kawaida tu siyo mpenzi wake na hawezi kutaja jina lake kwa sasa.

bob-juniour-3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *