Basi la abilia mali ya Kampuni ya New Force, malori mawili ya mizigo (ambapo moja ni aina ya Scania lenye namba za usajili T 103 ATX) na gari dogo aina ya Toyota Pick-up yamegongana na kusababisha ajali leo asubuhi katika eneo la Igurusi mkoani Mbeya.

Basi hilo la New Force lilikuwa lilikuwa likitokea Tunduma kuelekea Dar es Salaam likiwa na abilia wake.

Hata hivyo hakuna mtu aliyeripotiwa kupoteza maisha kutokana na ajali hiyo mbaya iliyotokea mkoani Mbeya.

Ajali za barabarani zimekuwa janga la kitaifa nchini licha ya elimu kutolewa kwa madereva husika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *