Kampuni ya Salim Said Bakhresa imepewa siku kumi kuboa ukuta ambao umo katika hifadhi ya Reli katika eneo la Buguruni.

RAHCO iliendesha zoezi la bomoa bomoa kwa nyumba zilizokuwa zimejengwa katika hifadhi ya reli ambayo ni mita 30 ambap zaidi ya nyumba 250 zilibomolewa jana.

Ofisa Uhusiano wa RAHCO, Catherine Moshi, alisema kuwa wakazi wa eneo hilo walipewa notisi ya kwanza Aprili mwaka jana wakitakiwa kuhama eneo hilo, lakini wakakumbushwa tena Julai mwaka huohuo.

Baada ya kuona kuna ambao hawajahama, walipewa tena notisi ya kuwakumbusha Februari mwaka

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *