Mwanamuziki mkongwe Kwenye game ya Bongo Fleva, AY amejibu swali kuhusiana na mtazamo wake upoje bado anadhani game inamdai Kwenda international.

AY ameiambia amesema kuwa “Bado game inamdai nilifanya ngoma nyingi za kimataifa isipokuwa nilikuja kugundua wabongo hawaelewi nikaacha kufanya hivyo nikatoa ‘Zigo’.

AY ameongeza kwa kusema kuwa aona wabongo kama wote so niligundua wabongo hawaelewi Ngoma za kimataifa level yao ni Ngoma kama Zigo.”.

Mwanamuziki huyo ni miongoni mwa wasanii walioanza kitambo kufanya ngoma na wasanii wa nje ya nchi kama Prezoo kutoka Kenya na Psquare kutoka Nigeria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *