Droo ya klabu bingwa Ulaya imepangwa kwa raundi ya 16 bora huku mechi kali ikiwa ni Bayern Munich ya Ujerumani dhidi ya Arsenal ya Uingereza.

Timu hizo zimekuatana katika hatua ya mtoano mara mbili na hatua ya makundi mara moja na Arsenal ikishindwa kutamba mara zote dhidi ya Mabingwa hao wa Ujerumani.

Mechi hizo zitachezwa katika ya tarehe 14 na 15 Februari na marudiano Februari 21 na 22

Ratiba kamili kama ifuatavyo

 

Sevilla vs Leicester City

PSG vs Barca

Leverkusen vs Atletico Madrid

Porto vs Juventus

Bayern Munich vs Arsenal

Benfica vs Dortmund

Real Madrid vs Napoli

Mancheter  City  vs Monaco

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *