Winga wa Bayern Munich, Arjen Robben atakosa mechi za kwanza za ufunguzi wa ligi kuu nchini Ujerumani ‘Bundersliga’ msimu ujao kutokana na kukaa nje kwa wiki sita baada ya kupata maumivu ya misuli.

Winga huyo ambaye usumbulia na majeraha mara kwa mara ambapo msimu uliopita alicheza mechi 15 za Bundersliga.

Bayern Munich itacheza dhidi ya Borussia Dortmund kwenye mechi ya Super Cup ifikapo Agosti 14 wakati mechi ya ufunguzi wa ligi kuu ya Bundersliga wataanza kucheza dhidi ya Werder Bremen Agosti 26 mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *