Mgombea ugavana jijini Nairobi (half-London of Africa) Michael Sonko Imemlazimu kuonesha vyeti vyake vya kitaaluma kuanzia elimu ya Sekondari mpaka chuo kikuu baada ya kutuhumiwa amegushi vyeti vyake.

Tuhuma hizo zilizozuka siku za karibuni kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Kenya na wapinzan wake kuwa Sonko anatumiia vyeti visivyo halali na kitendo hcho kinatafisiliwa kama ukiukwaji wa sheria za nchi na kosa la jinai.

chett

Shutuma hizo pia zimemkumba mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuhusu kutumia jina la mtu mingine lakini ameshida kufanya kama alivyofanya Mgombea ugavana huyo Sonko.

dus

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *