Mtu mmoja anayedaiwa kumpiga kofi staa wa muziki nchini Marekani, Justin Timberlake katika mchuano wa mcheo wa gofu katika Ziwa Tahoe katika mji wa Nevada, Marekani amekamatwa.

Katika kanda ya video iliopatikana na mtandao wa TMZ, Justin Timberlake ameonekana kupita katikati ya watu kabla ya mkono wa mtu kuonekana ukimgusa upande mmoja wa uso wake.

Walinzi wake walimvuta msanii huyo lakini baadaye akaonekana akizungumza na mshukiwa huyo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *