Mkali wa Bongo nchini Alikiba amekuna na kufanya mazungumzo na mwanamuziki mkongwe wa Afrika Kusini Yvonne Chaka Chaka katika mji wa Johannesburg nchini Afrika.

Alikiba alipata nafasi hiyo ya kukutana Yvonne Chaka Chaka alipokwenda kutumbuiza kwenye utoaji wa tuzo za Makhaya Migrants Awards nchini humo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Alikiba aliandika

It was a great honor and pleasure to meet Mama Yvonne Chaka Chaka who I have loved and admired all my life . Thank you for hosting us and sharing your memories, advices and guidance. I am truly grateful and looking forward to our project #KingKiba

Yvonne Chaka Chaka ni mwanamuziki mkongwe nchini Afrika Kusini ambaye aliwahi kutamba na nyimbo kama vile Mama Land, Mqombothi, Let Me Be Free na nyingine kibao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *