Mwanamuziki wa Bongo fleva, Alikiba ameamua kuweka wazi ratiba ya ziara ya kimuziki kimataifa (Internationla Tour).

Muimbaji huyo ambaye mwaka 2016 ulikuwa mzuri kwa upande wake baada ya kuchukua tuzo 13 za kitaifa na kimataifa, tour yake itaanza February nchini Afrika Kusini.

Kupitia akaunti yake ya Facebook Kiba ameandika “Happy New Year. It’s time to meet my fans across the world. I start with South Africa in February 2017! . KING KIBA LIVE ON TOUR IN SOUTH AFRICA. Contact Exclusive Agent & PR @matthewmensah for additional bookings & endorsements in SA/Southern Africa. #MTVEMABestAfricanAct#AlikibaSATour2K17#KingKibaWorldTour2K17 #KingKiba,.

Muimbaji huyo hivi karibuni alifanya show ya funga mwaka nchini Uganda, show ambao ilidaiwa kuweka historia nchini humo kutokana na kuhudhuriwa na watu wengi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *