Mkali wa Aje, Alikiba baada ya kotoa ratiba ya ziara zake za kimuziki za Afrika Kusini kuanzia mwezi ujao huku Marekani ikiwa mwezi wa tatu, staa huyo sasa ametoa ratiba ya ziara yake katika bara la Ulaya.

Staa huyo ameamua kutoa ratiba zake hizo hili mashabiki wake wafahamu maeneo gani wanaweza kupata burudani za mkali huyo.

kiba

Nchi ambazo atakazofanya show barani Ulaya ni Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, Switzerland, Sweden na Uholanzi na ataanza kuzunguka huko Juni na Julai.