Mkali wa ‘Aje’ Alikiba usiku wa jana ulikuwa mzuri kwake baada ya kushinda tuzo tatu kwenye tuzo za EATV zilizofanyika jana katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Tuzo alizoshinda Alikiba ni Mwanamuziki bora wa kiume, Nyimbo bora ya mwaka ‘Aje’ pamoja na video bora ya mwaka ambaye imeshinda nyimbo ya ‘Aje’.
Orodha kamili ya wasanii walioshinda tuzo hizo ni kama ifuatavyo.
MWANAMUZIKI BORA CHIPUKIZI
Amani Hamisi (Man Fongo) – Mshindi
KUNDI BORA LA MWAKA
Navy Kenzo – Mshindi
MUIGIZAJI BORA WA KIKE
Chuchu Hansy – Mshindi
MUIGIZAJI BORA WA KIUME
Salim Ahmed (Gabo) – Mshindi
VIDEO BORA YA MWAKA
Aje – Ali Kiba – Mshindi
WIMBO BORA WA MWAKA
Aje – Alikiba – Mshindi
FILAMU BORA YA MWAKA
Safari ya Gwalu – Mshindi
MWANAMUZIKI BORA WA KIKE
Lady Jay Dee – Mshindi
TUZO YA HESHIMA
Bonny Love
MWANAMUZIKI BORA WA KIUME
Alikiba – Mshindi