Alichokiandika Rama Dee kuhusu Rais Magufuli

0
502

Mkali wa R&b nchini, Rama Dee ameonyesha hisia zake kwa kuridhishwa na uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli na kumuombea kwa Mungu ifikapo mwaka 2020 ashinde tena kwa awamu ya pili kwenye uchaguzi mkuu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kuweka picha ambayo inamuonyesha Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anagawa pipi kwa baadhi ya viongozi na Mabalozi  walioapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rama Dee ameandika “Mungu akupe ushindi tena awamu ya pili Mzee Magufuli” alindika Rama Dee

magufuli

 

LEAVE A REPLY