Mwanamitindo wa Bongo, Jokate Mwegelo ni miongoni mwa mastaa wa Bongo ambao wameonekana kuuzimikia wimbo mpya wa Diamond.

Kupitia mtandao wa instagram, Jokate ameweka picha ya kava ya wimbo huo na kuandika, “Another day. Another . Another Hit Song Movie from Chibu Dee Baba Dullah @diamondplatnumz @wcb_wasafi ft @morganheritage #Hallelujah.” Mpaka sasa wimbo huo umeshatazamwa zaidi ya mara laki nane kwenye mtandao wa YouTube ikiwa ni takribani masaa 20 yamepita tangu ulipoachiwa.

jokate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *