Muziki duniani umekuwa chanzo cha kuwaingizia kipato wasanii mbali mbali ambao wanafanya shughuli ya sanaa hiyo.

Kwa upande wa Afrika wasanii mbali mbali wamenufaika kwa muziki mpaka kupelekea kuwa matajiri ambao wanaendesha magari yenye thamani kubwa na kumiliki majumba na vitu vya thamani.

Hii hapa orodha ya wasanii ambao wanaingia mkwanja mrefu zaidi katika bara la Afrika ambapo msaniiΒ  kutoka nchini Senegal Akon anaongoza orodha hiyo.

1.Akon toka Senegal

  1. Black Coffe toka South Africa
  2. High Masekela toka South Afrika
  3. Don Jazy toka Nigeria
  4. Tinashe- Zimbabwe
  5. Jidenna toka Nigeria
  6. Wizkid toka Nigeria
  7. David toka Nigeria
  8. Sarkodio toka Ghana
  9. Oliver Mtukuzi toka Zimbabwe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *