Mkali wa hip hop nchini Afrika Kusini, AKA ameachana na mpenzi wake ambaye ni mtangazaji wa radio na TV Bonang Matheba.

Kupitia uakaunti yake Twitter AKA ameandika kuachana kwa kwao na kusema kuwa Sababu ya kuachana wawili hao ni mwanamke akumpenda ssana AKA.

Wawili hao walirejea kutoka kwenye mapumziko nchini Thailand wiki chache zilizopita na siku moja tu iliyopita walikuwa wakioneshana mahaba kwenye mitandao ya kijamii.

Kupitia akaunti yake ameandika “Sad to announce that myself and Bonang have broken up. We tried guys,”.

Mtangazaji huyo Bonang bado hajazungumza chochote kuhusu kuachana kwao kati yake ya rapa huyo.

Taarifa zilisombaa zinasema kuwa Bonang akumpenda rapa huyo kutokana na maelezo aliyoandika AKA kwenye akaunti ya twitter kwa kuandika ‘Guys dont ever love a woman more than she loves  yuo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *