Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limechezesha droo ya makundi kwa ajili ya michuano ya Mataiafa ya Afrika maarufu kama AFCON itakayofanyika nchini Gabon kuanzia Januari mwakani.
Katika makunid hay Ivory Coast itapambana na kocha wake wa zamani Herve Renard baada ya kupangiwa katika kundi moja na Morocco kwenye michuano hiyo.
Makundi yapo kama ifuatavyo
KUNDI A
Gabon
Burkina Faso
Cameroon
Guinea Bissau
KUNDI B
Algeria
Tunisia
Senegal
Zimbabwe
KUNDI C
Ivory Coast
DR Kongo
Morocco
Togo
GROUP D
Ghana
Mali
Misri
Uganda.
Michano hiyo inatarajiwa kufanyika nchini Gabon kuanzia Januari 14 mwakani kwa mcezo wa ufunguzi huku mchezo wa fainali ukipangwa kuwa Februari 5.