Ratiba: Mechi za ligi kuu nchini Uingereza leo

0
406

Leo ligi kuu nchini Uingereza inaendelea katika viwanja tofauti ikiwa ni michezo ya tano toka kuanza kwa ligi hiyo yenye mvuto duniani.

 

Ratiba ya mechi za leo ligi kuu nchini Uingereza

Hull1 vs Arsenal saa 11 kamili jioni

 

Leicester vs Burnley saa 11 jioni

 

Man City vs Bournemouth saa 11 kamili jioni

 

West Brom vs West Ham saa 11 kamili jioni

 

Everton vs Middlesbrough saa 11 kamili jioni

LEAVE A REPLY