Hatimaye mastaa wa burudani nchini, Diamond Platnmumz na mpenzi wake, Zarina Hassan a.k.a ZariTheBossLady wamemuweka hadharani mtoto wao wa pili Nillan.

Mtoto huyo ambaye mpaka jana alikuwa anatimiza siku 60 na kidogo alifanyiwa shughuli kama aliyowahi kufanyiwa dada yake, Tiffah ambapo kabla ya sherehe kama hiyo sura yake haikuwahi kuonyeshwa hadharani.

Hongera Diamond Platnumz na Zari, hongera kwa watoto na kila mwanafamilia yenu.

Tazama video hii kuona yaliyojiri.

Picha na video kwa hisani ya @Bongo5 na @Clouds digital

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *