Christian Bella alalamika kunyimwa fursa nchini kisa si Mtanzania
Mwanamuziki wa dansi nchini, Christian Bella amedai kuwa amekuwa akinyimwa fursa nyingi hapa nchini kwa kuwa yeye si Mtanzania kama walivyo wasanii wengine. Muimbaji huyo ambaye ni raia wa Congo,…