Chuchu Hans awatolea povu wanaomsema kuhusu ukaribu wake na Ray
Muigizaji wa Bongo Movie, Chuchu Hans amefunguka kuwa watu wanaomhukumu kuwa anakosea kuwa karibu na mpenzi wake Vincent Kigosi ‘Ray’ wakati huu wa mfungo wa Ramadhani na yeye ni Muislamu…