Alichoandika Zitto Kabwe kufuatia mauaji ya Askari wanane wilayani Kibiti

0
419

Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametoa salamu za pole kufuatia vifo vya maaskari nane waliopoteza maisha baada ya kushambuliwa na watu wanadaiwa kuwa majambazi wilayani Kibiti mkoani Pwani.

Zitto Kabwe ambaye ni mbunge wa Kigoma Mjini ametoa salamu za pole hizo kwa familia za marehemu kufuatia mauaji hayo ya kutisha.

Pia Zitto ameliomba jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) kuanzisha operesheni maalum ili kukomesha vitendo hivyo vinavyoendelea maeneo hayo mkoani Pwani.

zitto

LEAVE A REPLY