Zari anunua Range Rover lenye thamani sh. Milioni 171,337,500

0
205

Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady amenunua gari aina ya Range Rover lenye thamani ya shilingi milioni 171,337,500 za kitanzania.

Zari alitangaza mpango wake wa kununua gari hilo wiki chache zilizopita na hatimaye wikiendi hii alilianika gari hilo jipya na kuliweka Kwenye mitandao ya kijamii.

Mara baada ya kuweka gari hilo kuna habari zilizuka kuwa amenunuliwa gari hilo na mpenzi wake taarifa alizozikana na kuweka wazi kuwa amenunua gari lile kwa hela zake mwenyewe.

Lakini pia Zari ameweka wazi mipango yake ya kuanzisha Food franchise kama vile KFC au McDonalds.

LEAVE A REPLY