Zari amjibu Diamond baada ya kukiri kuzaa na Hamisa Mobeto

0
823

Baada ya Diamond Platnumz kukiri kuzaa na Hamisa Mobeto, hatimaye Zari The Boss Lady amemjibu Diamond kupitia mtandao wa Snapchart.

Wakati Diamond akithibitisha hilo kupitia kipindi cha radio maarufu hapa nchini, Zari alipost jumbe tatu zenye utata kutokana maneno ya Diamond.

Post hizo zilikuwa kama ifuatavyo.

mojaa

mbili

tatu

LEAVE A REPLY