Z – Anto amrejesha binti kiziwi

0
126

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Z-Anto ameachia video rasmi ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nichape’ baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kuachia kazi hewani.

Video hiyo iliyoongozwa chini ya Kwetu Studio huku iliyetumia kwa mara nyingine kwenye video ya wimbo huo, ni aliyekuwa Mkewe wa ndoa Sandrah Khan maarufu kama ‘Binti Kiziwi’.

Mrembo huyo anaonekana kwa mara ya kwanza kwenye video ya muziki wa Z-Anto tangu kuachiwa huru kutoka gerezani nchini China alikokuwa akitumikia kifungo cha miaka nane baada ya kukutwa na hatia ya kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya nchini humo.

Sandra anaripotiwa kuwa alirejea nchini Tanzania kimya kimya Mwezi Disemba Mwaka Jana baada ya kuachiwa huru nchini China baaada ya kumaliza kifungo.

LEAVE A REPLY