Young Lunya: Sichanganyi mapenzi na kazi

0
20

Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo Fleva, Young Lunya amefunguka kuto kuchanganya mahusano na kazi yake ya muziki.

Young Lunya ambaye ametoka katika familia iliyojawa na vipaji vya muziki ameeleza kuwa yeye hafanyi hivyo kwani ameshashuhudia baadhi ya wasanii waliochanganya kazi na mepenzi mwisho wa siku wakapotea.

“Mimi sichanganyi mapenzi na kazi kwa sababu nimesha shuhudia baadhi ya wasanii ambao walikuwa ni wakali wakachanganya mahusano kwenye muziki wao.

Watu wakaanza kufuatilia sasa mahusiano na muziki, mahusiano ya kifa na muziki nao unakufa. Kwa hiyo mimi najitahidi sana nisichanyanye mahusiano yang una kazi.”

LEAVE A REPLY