Young Killer aweka wazi mahusiano yake ya Wolper

0
149

Mwanamuziki wa HipHop Bongo Young Killer amesema muigizaji Jacqueline Wolper ni miongoni mwa watu waliompongeza kwa kazi yake mpya, A New Girlfriend Story.

Young Killer amekiri kuwa yeye na Wolper ni kweli walikuwa wapenzi na hawana tatizo hata kwasasa inapoonekana wameachana.

Pia mwanamuziki huyo amesema kuwa kwasasa anajikita zaidi karibu na familia yake kwasababu ana mtoto hivyo anajikita zaidi kwenye malezi.

Jana ameachia ngoma mpya inayoitwa ‘A New Girlfriend Story’ ambayo imezua mijadala tofauti mitandao lakini yeye amefafanua.

Mwanamuziki huyo anhusisha kutoka kimapenzi na muigizaji huyo wa Bongo Movie japokuwa wenyewe wakakanusha kuwa katika mapenzi.

LEAVE A REPLY