Young Killer akanusha kuachwa na mwanamke

0
141

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Young killer amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake hajawahi kuachwa na mwanamke hata mara moja zaidi ya kuwaacha yeye.

Young Killer amesema kuwa kwasasa anafanya vizuri katika muziki na kusema kuwa katika maisa yake yote ya mahusiano hajawahi kuachwa na mwanamke.

Pia amesema kuwa awezi kuachwa na mwanamke yoyote kwasababu yeye ni handsome asiekuwa na matunzo basi hajui kutupia watakuwa wanajidanganya.

Young killer liwahi kutangaza hivi karibuni kuachana na mrs superstar kwa sababu ambazo haziweza kuzuilika kati yao lakini walikuwa katika mahusiano kwa muda mrefu.

LEAVE A REPLY