Young Dee karudia ‘uteja’? Tazama ‘chatting’ hii

0
740

Huenda huu ukawa mwanzo mbaya zaidi wa staa wa Bongo Fleva, Young Dee baada ya kuvujishwa kwa taarifa kutoka kwa meneja wake kuwa staa huyo ‘apparently’ amerudia kuvuta unga.

Licha ya kukiri hadharani na kuomba msamaha mwaka jana lakini mwaka 2017 umeanza na ‘KASHFA KUBWA’ na huenda ukawa ni mwanzo wa kupotea kwa staa huyo.

Je, ni kweli Young Dee amerudia ‘unga’? Yeye mwenyewe bado hajasema lolote hivyo ni jambo la kusubiri na kuona.

  screen-shot-2017-01-03-at-15-54-28

LEAVE A REPLY