Young Dee atumia style ya Mr Nice kwenye wimbo wake ‘Kiben 10’

0
169
Young Dee

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Young Dee amefunguka na kusema kuwa wimbo wake mpya uitwao ‘Kiben 10’ ameufanya kwa style ya TAKEU ili kuenzi mchango wa Mr Nice kweny muziki wa Bongo Fleva.

Yound Dee amesema kuwa hakuzungumza chochote na mkongwe huyo mpaka inatoka project hiyo ili kumfanyia surprise ya ngoma hiyo.

Mwanamuziki huyo amesema kuwa kuna wasanii wengi sio yeye peke yake unavyousikiliza, ni ngoma fulani ya kukubali kile kikubwa ambayo kimefanya na wasani wakongwe waliopita kwenye game.

Pia Young Dee amesema kuwa Mr Nice ni jina kubwa sana kwenye muziki wetu, ni msanii ambaye amefungua njia kwa wasanii wengi, ngoma zake pamoa na style yake ya Takeu ilifanya vizuri kila kona.

Vile vile amesema bado hajajua kama ataachia video ya ngoma hiyo huku akiwataka mashabiki wa muziki kuisikiliza ili kupata vitu hadimu ambavyo amedai vinapatikana katika ngoma hiyo.

LEAVE A REPLY