Young Dee aachia ‘Young Dad’

0
1405

Huku staa wa Hip Hop, Young Dee akiandamwa na kashfa ya kurudi kwenye matumizi ya dawa za kulevya bado ameweka ‘kelele’ zote na nyuma na jana aliandika ‘Time will tell’.

Lakini leo ameamua kuachia Dedication Song kwaajili yake na mtoto wake….Young Dad.

He better be ‘You and Smart Dad’!!

Enjoy!!

LEAVE A REPLY